Swahili
Sorah Al-Ikhlas ( Sincerity )
Verses Number 4
قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ ↓ Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
اللَّهُ الصَّمَدُ ↓ Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ ↓ Hakuzaa wala hakuzaliwa.
وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ ↑ Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.